November 29, 2016

PICHA:RAIS WA ZAMBIA AKIAGA

aaga
Rais John Magufuli akiagana na Rais wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati mgeni huyo alipoondoka nchini kurejea nyumbani Novemba 29, 2016.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment