February 9, 2017

TUNDU LISU NA WEMA SEPETU WAFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO


WEMA
Msanii Wema Sepetu akishuka kwenye gari wakati alipofikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kusomewa mashtaka yanayomkabili akituhumiwa kujihusishwa na biashara ya dawa za kulevya
WEMA1 WEMA2
Mwanasheria wa Chama cha Chadema Mh. Tundu Lisu na Wema Sepeti wakishuka kwenye wakati alipofikishwa kwenye mahakama ya Kisutu leo. Tundu Lisu anatuhumiwa kutoa lugha za uchochezi

No comments:

Post a Comment