Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, akisikiliza maelezo ya
jinsi silaha inavyohakikiwa kutoka kwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Kitengo cha Udhibiti wa Silaha, Dotto
Shilogile, alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10
ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, yaliyofanyika leo katika Viwanja vya
Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
|
No comments:
Post a Comment