Mkuu
wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline
Materu(kushoto)na Mkuu wa maduka ya rejareja wa kampuni hiyo,Brigita
Stephan(kulia)wakimsikiliza
Afisa Mawasiliano wa Tecno,Eric Mkomoye akiongea na waandishi wa habari
na kuwaonesha simu aina ya Tecno Phantom 8,Wakati wa uzinduzi wa simu
hiyo kwa kushirikiana na Vodacom ambapo simu hiyo inaambatana na ofa ya
kifurushi cha 5GB,SMS 300 pamoja na dakika
300 kwenda mitandao yote na inapatikana katika maduka yote ya kampuni
hizo kwa bei nafuu.
Mkuu
wa matukio wa Tecno,Anuj Khosua(kushoto) Mkuu wa kitengo cha Uhusiano
na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(wapili kushoto)na
Mkuu wa maduka ya rejareja
wa Vodacom,Brigita Stephan pamoja na Afisa Mawasiliano wa Tecno,Eric
Mkomoye wakionesha simu aina ya Tecno Phantom 8,Wakati wa uzinduzi wa
simu hizo kwa kushirikiana na Vodacom ambapo simu hizo zinaambatana na
ofa ya kifurushi cha 5GB,SMS 300 pamoja na dakika
300 kwenda mitandao yote na inapatikana katika maduka yote ya kampuni
hizo kwa bei nafuu.
Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kushoto) na Afisa Mawasiliano wa Tecno,Eric
Mkomoye,wakimpongeza mwaandishi wa habari
baada ya kubahatika kushinda simu aina ya Tecno Phantom 8,Wakati wa
uzinduzi wa simu hizo kwa kushirikiana na Vodacom ambapo simu hizo
zinaambatana na ofa ya kifurushi cha 5GB,SMS 300 pamoja na dakika 300
kwenda mitandao yote na inapatikana katika maduka
yote ya kampuni hizo kwa bei nafuu.
No comments:
Post a Comment