| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza mkutano
huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi
wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini
Unguja jana,[Picha na Ikulu.] |
No comments:
Post a Comment