Rais
wa
Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga akitoa hotuba yake
wakati wa mahafali ya pili ya Program ya Haki za Binadamu Afrika
Mashariki yaliyofanyika katika Chuo cha Bagamoyo (UB) jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga
(kulia) akimkabidhi cheti muhitimu wa kozi ya haki za binadamu Ukanda wa Afrika
Mashariki na Kati katika Chuo Kikuu cha
Bagamoyo, Comfort Maembe, kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa
kushirikiana na Akiba Uhaki Foundation ya Kenya na kufanyika jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Francis Dande)
Rais
wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga (kulia) akimkabidhi cheti
muhitimu wa kozi ya haki za binadamu katika kwa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Sophie Ogutu
kutoka Kenya jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki. Kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa kushirikiana
na Akiba Uhaki Foundation ya Kenya.
No comments:
Post a Comment