![]() |
Kada wa CCM, Abbakar Assenga akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero mkoani Morogoro, mbele ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Asante Africa, eneo la Lumumo, Ifakara, leo |
![]() |
Ali Kiba akiwapa hi, umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Assenga kutangaza nia ya kuwania ubunge, baada ya mechi ya fanali ya Kombe la Assenga iliyofanyika kwenye Uwanja wa Asante Afrika, Ifakara. |
No comments:
Post a Comment