Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli. v Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA). |
No comments:
Post a Comment