Naibu waziri wa Viwanda na
biashara na mgombea ubunge wa jimbo la ileje mkoani Songwe, Janet Mbene
akisalimiana na vijana waliojitokeza kumlaki katika kata ya Isoko
walayani hapo. Picha na Humphrey Shao
Naibu waziri wa viwanda na
biashara na mgombea ubunge katika jimbo Ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene
akitembea huku wananchi wakimfuata nyuma mara baada ya kumalizika kwa
mkutano wake na
wajumbe wa halmashauri wa kata ya Isoko kuomba wamchague katika uchaguzi wa kura za maoni za CCM. Picha na Humphrey Shao.
Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa
wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey Shao.
No comments:
Post a Comment