Mtangaza
nia wa Jimbo la Same Magharibi, Ahadi Kakore akipokea fomu ua kuomba
kuwania ubunge Jimbo la Same Magharibi kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya
ya Same, Mussa Matoroka hivi karibuni.
Ahadi
Kakore akisaini kitabu cha wageni cha Shule ya Msingi Masandare muda
mfupi baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara fupi ili kujionea hali ya
shule hiyo ambayo ni moja ya shule kongwe kwa eneo hilo.Kushoto ni
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Adelina Kiwango.
Kakore
akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya Msingi Masandare
iliyopo nje kidogo ya mji wa Same. Shule hiyo ipo kwenye eneo la
wafugaji.
No comments:
Post a Comment