![]() |
Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador,Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
Shughuli hii ya utoaji msaada kwa wanakiji iliambatana na burudani pamoja kucheza muziki,shughuli hii ilifanyika nje kidgo ya mji wa Moshi. |
![]() |
Warembo wakipanda Basi maalumu kwaajili ya shughuli za shindano ambalo hulitumia kwa shughuli za kutembelea sehemu mbakimbali,hii nimoja kati ya kazi za kijamii zinazoendelea kufanywa na warembo hao mkoani humo. |
No comments:
Post a Comment