| Waziri wa habari, utamaduni,sanaa na michezo Mh.
Mhe.Nape Moses
Nnauye (katikati)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -
Mazingira na
Muungano Mh.
January Makamba (kulia)pamoja na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(kushoto)wakifatilia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga
wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,
Uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,ambapo timu
hizo zilitoka suluhu 1-1. |
No comments:
Post a Comment