November 29, 2016

DC WILAYA YA TUNDURU AELEZA MAFANIKIO YA MPANGO WA KUTOKOMEZA MIMBA MASHULENI KATIKA WILAYA YAKE SEHEMU YA PILI


Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homela  aelezea mpango wa mahakama ya kutembea aliyoianzisha katika wilaya yake ya TUNDURU jinsi ulivyoleta mafanikio , katika kupunuza utoro mashuleni na mimba mashuleni.

No comments:

Post a Comment