July 22, 2015
WAZIRI MKUU AKISALIMIANA NA MUNGE ARFI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa Mpanda Kati kwa tiketi ya CHADEMA, Said Arfi mjini Mpanda Julai 21 2015. Mheshiiwa Pinda yuko Katavi kwa mapumziko mafupi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment