KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 9, 2017

NIC WAPIGANA MSASA MOROGORO


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikala Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza katika mkutano wa Mameneja wa NIC uliofanyika Morogoro jana.Kushoto ni Romanious Hokororo, Kaimu Mkurugenzi wa Bima za Ajali na Mali

Baadhi ya Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa NIC wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Sam Kamanga (hayupo Pichani) wakati wa  mkutano wa Mameneja wa NIC uliofanyika Morogoro jana.

No comments:

Post a Comment