Mabondia Twaha Kassim wa morogoro
kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mussa Chitepete wa
Songea wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita
Kassim alishinda kwa K,O ya raundi ya sita Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mussa Chitepete wa Songea akiwa
chini baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Twaha Kassimu wa Morogoro
wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kassim
alishinda kwa K,O ya raundi ya sita
Bondia Cosmas Cheka kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Shauri wakati wa
mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa
pointi mpambano huo
No comments:
Post a Comment