Benki ya NMB leo imefungua tawi jipya maeneo ya Gongo la mboto- Dar es
Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi
hili lipo karibu na kituo cha dala dala cha Mzambarauni mkabala na
kituo cha mafuta Oil com.
Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Chanika,Pugu,Majohe,Kitunda,Mongo la ndege na maeneo yote ya karibu.Vile vile huduma zote za kibenki zinapatikana katika tawi hili zikiwamo ufunguzi wa akaunti mbali mbali,Huduma za mikopo pamoja na huduma za kuweka na kutoa fedha.Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Mhe. Raymond Mushi, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Gongo la Mboto . Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Dar e salaam – Bw. Salie Mlay na kulia ni meneja wa NMB Tawi la Airport Bi.Hellen Mapunda. Mhe.Raymond Mushi akiongea na sehemu ya wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Tawi. Mhe. Raymond Mushi akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa NMB mara baada ya uzinduzi rasmi wa tawi la Gongo la Mboto

No comments:
Post a Comment