Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi
wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah akizungumza akifungua
semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset
mjini Mbeya.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika
semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset
mjini Mbeya.
No comments:
Post a Comment