Daktari wa Shirika la Wamisionari
(Medical Missionaries lifestyle center for East Afrika) Kefa Omari
akitoa elimu kwa vijana ambao ni waathirika wa madawa wanaoishi katika kituo cha Gola Foundation kilichopo kijiji cha Njoro wilaya ya Arumeru kinachojishughulisha na watoto na vijana ambao ni waathirika wa madawa hayo, Daktari huyo alifika katika kituo hicho jana na kutoa msaada wa kitabibu kwa vijana hao pamoja na madawa ya kuondoa sumu inayotokana na madawa hayo katika mwili,katikati ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Elisha Maghembe Picha na Mahmoud Ahmad Arusha |
March 31, 2015
DAKTARI WA SHIRIKA LA WAMISIONARI AWAPIMA AFYA VIJANA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment