Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka chakula alichowaandalia Askari wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja. |
Makamanda wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika sherehe ya Chakulacha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa vikosi hivyo vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipowasili katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo katika sherehe za hafla ya chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. |
Hawa ni miongoni mwa Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula kilichondaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo. |
No comments:
Post a Comment