Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond |
Promota
wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa
mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya
kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Bondia Wang Xin Hua
kutoka China 'kushoto' na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo
Mabondia Japhert Kaseba Kushoto
akitunishiana misuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya
mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment