Mtafiti
wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu-Kituo cha Mwanza
(NIMR), Dk. Said Kapiga akifafanua jambo wakati akitoa mada yake ya
ufatiti wa Pombe,katika semina ya Wadau iliyofanyika leo jijini Dar es
Salaam.
Mtafiti
wa Sayansi ya Jamii wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya
Binadamu –Kituo cha Mwanza (NIMR) ,DK. Haika Osaki akitoa maada juu
matumizi ya Pombe za Viroba katika semina ya wadau iliyofanyika leo
jijini Dar es Salaam.
Mshauri
wa masuaya Afya na Familia, Dk. Ali Nzige akitoa mada katika semina ya
wadau juu madhara ya pombe,kwenye semina iliyofanyika leo Jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment