DOGO ASLAY:MKUBWA FELLA NDIYE MTUNZI WA NGOMA YA ‘NITAKUPWELEPWETA’
Mkali kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay
Isihaka ‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye
utata ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya
‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said
Fella’’Mkubwa Fella’’.…
No comments:
Post a Comment