MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' na Ally Mulo watapima uzito siku ya ijumaa kwa ajili ya mpambano
wao wa jumamosi utakaofanyika katika viwanja vya basketball vilivyopo katika shule ya uhuru wasichana Kariakoo Dar es salaam
akizungumzia mpambano uho mratibu
ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa
sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost
22
mbali na mabondia hawo mabondia
wengine watakao oneshana kazi siku hiyo ni kelvin Majiba atakaepambana
na Vicent Mbilinyi wakati Husein Pendeza akioneshana
umwamba na Shomari Mirundi na Raymond Mbwago atazidunda na Roger Masawe
na mapambano mengine mengi ya mabondia chipkizi
mabondia hawo watapima uzito
katika
tawi la mashabiki wa yanga bomba lililopo mtaa wa ndanda Kariakoo na
mpambano wao kufanyika siku ya jumamosi kuanzia saa kumi na mwisho
kabisa itakuwa saa kumi na mbili jioni ili kila mtu afurahie ngimi izo
zitakazochezwa mapema na kumalizika mapema kabisa katika siku hiyo
Bondia Ally Mulo |
Katika
mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa
ngumi kali pamoja na kutambua sheria
zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd
Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex
Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
Pia kuta kuwa
na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa
mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na
kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha
No comments:
Post a Comment