Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO
Yassin Abdallah Othadhi katikati akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa na
mabondia Ramadhan Shauri kushoto na Lulu Kayage kabla awajapaa kwenda
afrika ya kusini kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa agost 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS![]() |
No comments:
Post a Comment