Mkurugenzi wa masuala ya Ufundi wa TGDC, Bwana Karamaeli Mnjokava.(aliyesimama mbele) akichangia mada kuhusu jotoardhi na manufaa yake kwa wakazi wa Kata ya Swaya hivi karibuni mkoani Mbeya. |
Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Swaya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Kampuni ya Uendelezaji Nishati ya Jotoardhi (TGDC) wakifuatilia uwasilishwaji wa mada toka kwa Meneja Mkuu wa TGDC hivi karibuni mkoani Mbeya. |
No comments:
Post a Comment