Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika
foleni ya wapiga kura ya Uchaguzi wa marudio katika kituo cha kupiga
kura Skuli ya msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo,(wa
pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija, [Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipokea karatasi ya
kupigia kura kutoka kwa PA (1) Jaffar Suleiman kituo namba 1cha kupiga
kura ya Uchaguzi wa Marudio Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi
ambalo limefanyika leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura katika
uchaguzi wa marudio kituo namba 1cha kupiga kura namba 1 Skuli ya
msingi Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akifanya mahojiano na
waandishi wa habari na kuwaonesha kidole kilichoingizwa wino maalum
baada ya kipiga kura ya marudio leo katika kituo namba 1cha Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama
cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali
mbali waliomsindikiza wakati alipokwenda kupiga katikauchaguzi wa
marudio leo katika kituo namba 1cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati
Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akiiangalia karatasi ya kupigia kura katika uchaguzi wa Marudio baada ya kukabidhiwa katika chumba namba 3 cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja, [Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment