Padri
Honest Munishi akiongoza misa ya kumbukumbu ya marehemu James Luhanga
Jr iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 katika kanisa la Mt.
Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Marehemu James Luhanga Jr
alifariki Februari 3, 2016 mkoani Iringa. Picha na Vijimambo Blog/
kwanza Production.
Ndugu wa marehemu wakipeleka matoleo ya sadaka ya misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao James Luhanga Jr.
Wanafamilia
wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao marehemu James Luhanga
Jr. iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 Baltimore, Maryland
nchini Marekani.
Wanafamilia
wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao marehemu James Luhanga
Jr. iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 Baltimore, Maryland
nchini Marekani.
Pamela (kushoto) na Eliza Madada wa
marehemu James Luhanga Jr. wakiwa katika picha ya pamoja kama kumbukumbu
ya misa ya kumkumbuka mdogo wao aliyefariki Februari 3, 2016 mkoni
Iringa.
Wakati wa kupata chakula.
Katika picha toka kushoto ni Pamela Luhanga, James Luhanga Sr na Eliza Luhanga.
Kwa picha zaidi
No comments:
Post a Comment