Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini
Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi
ya leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini
Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi
ya leo,
No comments:
Post a Comment