Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi ya Sahara Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed kilichotokea siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mama Salma Kikwete. |
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi
ya
Sahara Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed
kilichotokea siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mama Salma Kikwete.
|
Mke wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi ya Sahara Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed kilichotokea siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikete. |
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Balozi wa nchi ya Sahara Magharibi Brahim Salem Buseif
mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Abdel
Aziz Mohamed.
|
No comments:
Post a Comment