MFUKO WA PENSHENI WA LAPF
UNAWATANGAZIA WASTAAFU WANAOLIPWA PENSHENI NA LAPF KUWA KUTAKUWA NA
ZOEZI LA UHAKIKI WA WASTAAFU NCHI NZIMA KUANZIA TAREHE 13.06.2016 HADI
TAREHE 24.06.2016 KUANZIA SAA MBILI KAMILI ASUBUHI. TAREHE KAMILI KWA
KILA WILAYA INAPATIKANA KWENYA MAGAZETI YA MWANANCHI YA TAREHE
06.06.2016, 08.06.2016 NA 10.06.2016, DAILY NEWS LA TAREHE 07.06.2016 NA
09.06.2016 NA TOVUTI YA MFUKO www.lapf.or.tz KILA MSTAAFU ANATAKIWA
KUFIKA NA PICHA MOJA NDOGO (PASSPORT SIZE) NA KITAMBULISHO CHOCHOTE.
KILA MSTAAFU ANAYELIPWA PENSHENI NA LAPF UNAOMBWA UJITOKEZE KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI ZILIZO KARIBU NAWE.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0767-600043 AU 0753-999991.
“STAAFU KWA UFAHARI NA LAPF”
|
June 3, 2016
TANGAZO LA WASTAAFU WOTE KUTOKA LAPF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment