Askari
wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Sajenti Mensah wa Kituo cha Polisi
Oysterbay ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa risasi akiwa kazini
eneo la Sayansi Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Christopher Fuime amesema
tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku huu na chanzo cha mauaji
hayo hakijafahamika.
No comments:
Post a Comment