Katibu Mtendaji wa Baraza la
Uwezeshaji Tanzania Beng'i Issa akizungumza jambo na mmoja wa Wanawake
wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza
Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali,
yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali
510 walihitimu baada ya
kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi pamoja wakati wa hafla hiyo ya kuhitimu mafunzo jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng'i Issa akisalimiana na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka na Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.

No comments:
Post a Comment