Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini
ambaye pia ni Katibu wa Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama,
Mennas Komba (kulia) akipokea moja ya madawati 534 kutoka kwa Mkuu wa
Kikosi cha cha 842 KJ Mlale Meja Absolomon Lyanga Shaushi, ambayo
yametengenezwa na kikosi hicho ili kukabiliana na upungufu wa madawati
katika jimbo la Peramiho,katikati mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya
wilayaya Songea vijijini Simon Bulenganija. Picha na Muhidin Amri |
Mkuu wa Kikosi cha cha 842 KJ Mlale Meja Absolomon Lyanga Shaushi akimuonesha Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Songea, Mennas Komba (kulia), baadhi ya madawati yaliyotengenezwa na kikosi hicho ambayo yatasambazwa kwa baadhi ya shule za msingi na sekonadri zenye upungufu wa madawati. katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Simon Bulenganija. |
Mbunge wa jimbo la Madaba mkoani Ruvuma, Joseph Mhagama (wa tatu kulia) akipokea moja ya madawati 540 kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha cha 842 KJ Mlale Meja Absolomon Lyanga Shaushi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu wa madawati kwa shule za msingi na sekondari katika jimbo hilo. |
No comments:
Post a Comment