Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar
akitoa maelzo kuhusu Tamasha la Mzanzibari wakati wa Ufunguzi wa tamasha
hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa
kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment