KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 22, 2016

ULEGA AHUDHURIA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MKURANGA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjy6VQ0m-NxlQ7Yr6JxSbpLTu6WgISgs29We1zULwBWxjAl2u333DhdtY4US2O8xMYWf9WbVfCAwvhxEvuB2Jsj-o9sM8PNEadco2JJPQWVaapAiSt_CLek9NB2o1owKzyI7oR1jqAdi0w/s1600/1.JPG
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na madiwani katika Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, ambapo alionesha kukerwa na halmashauri hiyo kushindwa kufungua Zahanati kwa wakati, huku zahanati hizo zikiwa zimeshakamilika, Kikao hicho hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. kulia ni Katibu tawala wa mkoa wa Pwani (RAS), Z.M Samataba.    

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1OoSHyvMBkkWUWuIxz_fUPQEieVbt34SzJnyQyawHEDednaCa2B9Knjh0I4k8iHJJzabCGhWqb6ECiT_VH3M3iSlU3T_RcbCo3j69JWr31tCLeLou4gOWQaWLb8G94cNYsOs4o8DVWq8/s1600/5.JPG
Sehemu ya madiwa walio fika kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga mkoa wa Pwani.
(picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)

No comments:

Post a Comment