Wasanii wa kundi la Makorokocho wakipokea mfano wa hundi ya fedha ya Milioni 7/= kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (kushoto), ikiwa ni zawadi ya mshindi wa kwanza wa mashindano yaliyodhaminiwa wa Vodacom Tanzania ya Dance 100% katika viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Makolokocho waliibuka washindi wa Dance 100% kwa mwaka 2016.Kulia ni Meneja wa Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu. |
No comments:
Post a Comment