Kocha
wa Makipa wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 -
Serengeti Boys, Muharami Mohammed maarufu kwa jina la Shilton (wa pili kushoto)
akiwanoa vijana wake, Kelvin Kayego (kushoto), Ramadhani Kabwili (wa tatu
kushoto) na Samwel Brazio kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya
Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri
ya Congo. Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya
Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano
ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha na Alfred Lucas
wa TFF).
|
No comments:
Post a Comment