Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mkunguakihendo wakati wa ziara ya kikazi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Ikungi Bi Rustika Turuka akisisitiza jambo kabla ya
kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Kuzungumza na baadhi ya viongozi
wa Vitongoji, Kata na Vijiji katika ukumbi wa shule ya sekondari
Mkunguakihendo wakati wa ziara ya kikazi
Wananchi wakisikiliza kwa makini maagizo ya serikali kupitia kwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe
Miraji Jumanne Mtaturu akikagua jinsi ujenzi wa maabara unavyosuasua
katika shule ya sekondari Mkunguakihendo ambapo amemuagiza Diwani
kusimamia ujenzi huo uli kufikia mwakani maabara ianze kutumika
No comments:
Post a Comment