KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 15, 2017

BANKI YA CBA TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA WAPENDANAO VALENTINE DAY PAMOJA NA WATEJA WAO

Baadhi ya wateja wa benki ya CBA Tanzania   pamoja na wafanyakazi wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Benki hiyo, Gift Shoka ( kulia)  wakati wa  hafla fupi ya kusherehekea siku ya wapendanao duniani pamoja na wateja wa benki hiyo iliyofanyika katika  makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Benki ya CBA  Tanzania, Gift Shoka ( kushoto)  akimlisha  keki mmoja wa wateja wa benki hiyo ambaye ni  Meneja Mkuu wa Uendeshaji wa   kampuni ya  Britan  Insurance ( T) Limited, Farai Dogo  wakati wa kuadhimisha siku ya wapendanao duniani(Valentine’s Day)  ambapo wafanyakazi wa benki hiyo walishirikiana na wateja wao kuadhimisha siku hiyo muhimu duniani kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Ssalaam leo.


Mkurugenzi wa Benki ya CBA  Tanzania, Gift Shoka ( kushoto) akisaidiwa kukata keki na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za wateja  wa benk hiyo,Hyasinta Mwimanzu wakati wa hafla ya kuadhimisha  siku ya wapendanao  duniani ambapo benki hiyo iliadhimisha siku hiyo  pamoja na wateja wao(hawapo pichani) katika . makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Ssalaam jana.
Mkurugenzi wa Benki ya CBA  Tanzania, Gift Shoka ( kushoto) akisalimiana na mmoja wa wateja wa benki hiyo, Maria Shawa wakati wa hafla ya kuadhimisha  siku ya wapendanao ambapo benki hiyo iliadhimisha siku hiyo  pamoja na wateja wao  katika  makao makuu ya  benki hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment