KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 9, 2017

ASKOFU GWAJIMA ATII AGIZO LA MAKONDA,ATINGA KITUO CHA POLISI KATI NA WAFUASI WAKE MCHANA HUU

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya,aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.(PICHA NA MICHUZI BLOG)
Wafuasi wa Askofu Gwajima wakiwa wanawasili kituo cha Polisi kati  

No comments:

Post a Comment