Aliyewahi
kuwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Idd Azzan ameripoti Kituo Kikuu cha
Polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya.
Viongozi
wengine waliotakiwa kufika polisi kuhojiwa ni Askofu Josephat Gwajima
na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ambao waliripoti jana kisha
wakaondolewa na kupelekwa kusikojulikana
|
No comments:
Post a Comment