Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule akiwaonesha waandishi wa habari PASSPORT 25 zilizokuwa zinamilikiwa na wafanyakazi wa Kampuni ya Quality Group kimakosa.
Pia Kikosi cha uhamiaji
mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza na kumchukulia hatua Mwenyekiti wa
klabu ya Yanga na mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Group, Yusufu Manji
kwa kosa la kuajiri wafanyakazi toka nje ya nchi wasiokuwa na vibali vya
kuishi na kufanya kazi nchini kinyume cha sheria.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
|
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule akiwaonesha waandishi wa habari PASSPORT 15 zilizokuwa zinamilikiwa na Raia wa Uganda Bi, Aisha Taub aliekamatwa katika Hotel ya Lamada ilioko Ilala jijini Dar es Salaam kwa kosa la kumiliki Passprt hizo. |
No comments:
Post a Comment