Rais wa
Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya
wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo
kujitambulisha.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada
ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]12/05/2017.
No comments:
Post a Comment