Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza
kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista
Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha thelasini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Mbunge
wa Nkasi Kaskazini (CCM) Mhe.Ally Keissy akiuliza swali katika kikao
cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 24, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Kiteto Koshuma akiuliza swali katika kikao cha
thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 24, 2017.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto
Mhe.Dkt,Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Amina Mollel akiuliza swali katika kikao cha
thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 24, 2017.
Waziri
wa Sera,Bunge, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Naibu
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
No comments:
Post a Comment