KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 12, 2017

MKUU WA MKOA WA GEITA AWEKA MAWE YA MSINGI KWENYE VITUO VYA AFYA VITATU,SHULE MOJA YA MSINGI NA MABWENI YA SEC KASAMWA

DSC_0282
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiweka Jiwe la Msingi kwenye shule Mpya ya Msingi ya Tumaini Iliyopo kwenye Mtaa wa Nyantorontoro A Kata ya Nyankumbu Wilayani Geita.

Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiweka Jiwe la Msingi kwenye shule Mpya ya Msingi ya Tumaini Iliyopo kwenye Mtaa wa Nyantorontoro A Kata ya Nyankumbu Wilayani Geita.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Mhandisi Modest Aporinal akielezea  miradi iliyozinduliwa kuwa ni Fedha za mapato ya ndani ndio ambayo imeweza kufanya shughuli za ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita,Leornad Kiganga Bugomola,,akizungumzia juu ya kutatua Kero za Afya,na elimu katika Halmashauri ambayo anaiongoza ambapo hadi sasa ni shule Moja Ambayo imekwisha zinduliwa kwaajili ya wanafunzi wa msingi kuanza masomo yao kutokana na umbali ambao walikuwa wakiupata wa kufuata elimu.

Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akiwasisitiza wananchi kuwa ni  watu wa kujitolea kwenye maendeleo na kuachana na itikadi za kisiasa ambazo zimekuwa zikirudisha jitihada za maendeleo  Nyuma

No comments:

Post a Comment