Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Lodrick Mpogolo, akizungumza na
wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Manzese, wakati akiwa katika
mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, ambapo leo amenza rasmi
katika Mkoa wa Dar es Salaam.
*************************************************
Na Ripota waMafoto Blog, Dar
No comments:
Post a Comment