Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia
Ackson (kulia) akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia
Dkt. Leslie Mancuso (kushoto) akizungumza jambo wakati ugeni kutoka
Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali
mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, lilipomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt.
Alain Damiba
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia
Ackson (kulia) akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia
Dkt. Leslie Mancuso (wa tatu kulia) akizungumza jambo pale ugeni kutoka
Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali
mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, ulipomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment