KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 16, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA – TBC

bc1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt Ayoub Rioba.
bc2
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 
bc3 bc4 bc5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika moja ya  studio za Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
bc6 bc7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. 
bc8
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.

No comments:

Post a Comment