Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya Mhe.
Alojz Peterle (kulia) pale ugeni wa Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa
Ulaya ulipomtembelea leo katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akizungumza jambo pale ugeni wa Wabunge wa Bunge la Umoja wa
Ulaya ulipomtembelea leo katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akizungumza jambo pale alipopata ugeni wa Wabunge wa Bunge la
Umoja wa Ulaya, katika Kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Spika
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wanne kulia) akipiga picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la
Umoja wa Ulaya wakiongozwa na Mhe. David Martin (wanne kushoto) baada ya
kumalizika kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Spika Mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment